Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matukio Muhimu ya mwaka uliopita
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Katika kisa kingine, taasisi fulani ya umma ilikataa kumwajiri Stylianos Ioannidis kwa kuwa alikuwa amefungwa alipokataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri. Kwa maoni yao hakuwa ametimiza wajibu wake wa kijeshi. Lakini Baraza la Serikali liliamua kuwa mtu anayekataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri hangelazimishwa kujiunga na jeshi baada ya kumaliza kifungo chake. Pia mahakama hiyo ilisema kwamba baada ya kifungo suala la utumishi wa kijeshi litakuwa limeshughulikiwa kabisa, kwa hiyo hilo halipasi kumzuia mtu asiajiriwe katika ofisi ya umma.

  • Matukio Muhimu ya mwaka uliopita
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 22]

      Stylianos Ioannidis

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki