Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tianeni Nguvu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Mei 1
    • Akizungumza kuhusu Wakristo hao watano, Paulo anasema: “Hawa ndio wamekuwa msaada wenye kunitia nguvu.”—Wakolosai 4:7-11.

      4 Paulo alitoa taarifa yenye nguvu kuhusu msaada aliopata kutoka kwa marafiki wake waaminifu. Alitumia neno la Kigiriki (pa·re·go·riʹa) linalotafsiriwa ‘msaada wenye kutia nguvu,’ ambalo linapatikana tu katika mstari huo wa Biblia. Neno hilo lina maana nyingi na lilitumiwa hasa kuhusiana na madawa.a Linaweza kutafsiriwa kuwa ‘kitulizo, faraja, au nafuu.’ Paulo alihitaji kuimarishwa kwa njia hiyo, nao wanaume hao watano walifanya hivyo.

  • Tianeni Nguvu
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Mei 1
    • a Kichapo Vine’s Complete Expository Dictionary of Old and New Testament Words, cha W. E. Vine, kinasema: “Kitenzi cha neno [pa·re·go·riʹa] hurejelea dawa ambazo hutuliza mwasho.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki