Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jitihada za Kutafsiri Biblia Katika Kigiriki cha Kisasa
    Mnara wa Mlinzi—2002 | Novemba 15
    • Tafsiri ya kwanza ya Kigiriki ya Maandiko yote ya Kigiriki ya Kikristo ilitafsiriwa mwaka wa 1630 na Maximus Callipolites, mtawa Mgiriki wa Callipolis. Alifanya kazi hiyo chini ya mwongozo wa Cyril Lucaris, kiongozi mashuhuri kutoka Constantinople aliyeleta mabadiliko katika Kanisa Othodoksi. Hata hivyo, Lucaris alikuwa na wapinzani kanisani, ambao hawangekubali mabadiliko yoyote au kutafsiriwa kwa Biblia katika lugha ya kawaida.a Alinyongwa kwa madai ya kuwa msaliti. Isitoshe, nakala 1,500 za tafsiri ya Maximus zilichapishwa mwaka wa 1638.

  • Jitihada za Kutafsiri Biblia Katika Kigiriki cha Kisasa
    Mnara wa Mlinzi—2002 | Novemba 15
    • [Picha katika ukurasa wa 27]

      Cyril Lucaris aliongoza kazi ya kutafsiri Biblia ya kwanza ya Kigiriki ya Maandiko yote ya Kigiriki ya Kikristo mwaka wa 1630

      [Hisani]

      Bib. Publ. Univ. de Genève

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki