-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Mfanyakazi mwingine mhamaji, aliyejifunza kweli katika Panama, alipeleka ujumbe wa tumaini katika Grenada.
-
-
Sehemu ya 1—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Ndugu Coward alikuwa msemaji mwenye mkazo na mwenye kupendeza, na wasikilizaji ambao mara nyingi walifikia idadi ya mamia walisongamana kusikia hotuba zake zenye kukanusha fundisho la moto wa helo na kutokufa kwa nafsi ya kibinadamu, pia akisimulia juu ya wakati ujao mtukufu kwa ajili ya dunia. Alisonga toka mji mmoja kwenda ufuatao, na toka kisiwa kimoja hadi kingine—St. Lucia, Dominika, St. Kitts, Barbados, Grenada, na Trinidad—akifikia watu wengi iwezekanavyo.
-