-
Kumkumbuka Muumba Wetu Kutoka Ujanani KuendeleaMnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
-
-
katika Oktoba 21, 1946, pamoja na wengine sita katika darasa letu kutia ndani na akina Bivens, tulisafiri kwa ndege hadi makao yetu mapya huko Guatemala City, Guatemala. Wakati huo kulikuwa na Mashahidi wa Yehova waliopungua 50 kote katika nchi hiyo ya Amerika ya Kati.
-
-
Kumkumbuka Muumba Wetu Kutoka Ujanani KuendeleaMnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
-
-
Kufikia mwaka wa 1958, kulikuwa na zaidi ya Mashahidi 700, makutaniko 20, na mizunguko mitatu katika Guatemala.
-
-
Kumkumbuka Muumba Wetu Kutoka Ujanani KuendeleaMnara wa Mlinzi—2000 | Januari 1
-
-
Yehova aendelea kuwamwagia watu wake baraka hapa Guatemala. Katika mwaka wa 1999 kulikuwa na zaidi ya makutaniko 60 katika Guatemala City. Na kuelekea kaskazini, kusini, mashariki na magharibi kuna makutaniko mengi zaidi na maelfu ya wapiga-mbiu wa habari njema za Ufalme wa Mungu. Wale wapiga-mbiu wa Ufalme waliopungua 50 tulipofika huku karibu miaka 53 iliyopita, wameongezeka kufikia zaidi ya 19,000!
-