-
Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Katika 1945, wamishonari wengine walikuwa wakisaidia kupanga kitengenezo vizuri zaidi kazi ya kuhubiri katika Barbados, Brazili, Honduras ya Uingereza (sasa ni Belize), Chile, Kolombia, El Salvador, Guatemala, Haiti, Jamaika, Nikaragua, Panama, na Uruguai. Wakati wamishonari wawili wa kwanza walipowasili katika Jamhuri ya Dominika katika 1945, walikuwa ndio Mashahidi pekee katika nchi hiyo. Matokeo ya huduma ya wamishonari hao wa mapema yalihisiwa upesi. Trinidad Paniagua alisema hivi kuhusu wamishonari wa kwanza waliotumwa Guatemala: “Hilo ndilo tulilohitaji hasa—walimu wa Neno la Mungu ambao wangetusaidia kuelewa jinsi ya kufanya kazi.”
-
-
Sehemu ya 3—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
John na Adda Parker
Guatemala
-