-
Wana-Farasi Wanne Katika Mwendo!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na mimi nikaona, na, tazama! farasi rangi nyeupe-nyeupe; na mmoja aliyeketi juu yake alikuwa na jina Kifo. Na Hadesi alikuwa akifuata yeye karibu-karibu.” (Ufunuo 6:8a, NW)
-
-
Wana-Farasi Wanne Katika Mwendo!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Pia kwa kufaa, Kifo kinafuatwa karibu-karibu na Hadesi (kaburi kwa ujumla) kwa njia fulani isiyoelezwa, kwa kuwa Hadesi hupokea ndani yake idadi iliyo kubwa zaidi ya wale wanaokuwa majeruhi wa mikumbo ya huyo mwana-farasi wa nne. Kwa furaha, kwa hao kutakuwako ufufuo, wakati ‘kifo na Hadesi vinapotoa wafu walio ndani yavyo.’ (Ufunuo 20:13, NW)
-