Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kwa Nini Huduma ya Nyumba kwa Nyumba Ni ya Maana Sasa?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Julai 15
    • Katika kitabu cha Ufunuo, ujumbe mkali wa hukumu unafananishwa na “mvua kubwa ya mawe iliyo na kila jiwe lenye uzito wa karibu talanta moja.”b Na andiko la Ufunuo 16:21 linasema: “Pigo lake lilikuwa kubwa isivyo kawaida.” Kwa sasa hatujui huduma ya nyumba kwa nyumba itatimiza nini katika kutangaza ujumbe huo mbalimbali wa mwisho wa hukumu. Lakini tunaweza kuwa na hakika kwamba kabla ya “dhiki kuu” kwisha, jina la Yehova litakuwa limejulishwa kwa mapana na marefu kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya wanadamu.—Ufu. 7:14; Eze. 38:23.

  • Kwa Nini Huduma ya Nyumba kwa Nyumba Ni ya Maana Sasa?
    Mnara wa Mlinzi—2008 | Julai 15
    • b Ikiwa talanta inayotajwa hapa ni ile ya Wagiriki, basi kila jiwe la mvua lina uzito wa kilo 20 hivi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki