-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na mvua-mawe kubwa yenye kila jiwe la uzani wapata talanta ikashuka kutoka katika mbingu juu ya watu, na wale watu wakakufuru Mungu kwa sababu ya tauni ya mvua-mawe, kwa sababu tauni yayo ilikuwa kubwa isivyo kawaida.”—Ufunuo 16:18-21, NW.
-
-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Mvua-mawe kubwa,” kubwa zaidi ya ile iliyopiga Misri wakati wa tauni ya saba, kila jiwe-mvua likiwa na uzani upatao talanta, litapigapiga aina ya binadamu kwa maumivu mengi.d (Kutoka 9:22-26) Huu mmimino-chini wenye kuadhibu, wa maji yaliyogandamana yaelekea unatoa picha ya semi za maneno zilizo nzito isivyo kawaida za hukumu za Yehova zikiashiria kwamba mwisho wa huu mfumo wa mambo umewasili hatimaye! Vilevile, Yehova angeweza kutumia mvua-mawe halisi katika kazi yake yenye uharibifu.—Ayubu 38:22, 23.
-