Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na wa kwanza akapuliza tarumbeta yake. Na kukatukia mvua-mawe na moto uliotangamana na damu, nayo ikavurumishwa kwenye dunia; na theluthi moja ya dunia ikateketezwa, na theluthi moja ya miti ikateketezwa, na mimea yote ya chanikiwiti ikateketezwa.” (Ufunuo 8:7, NW)

  • Tauni za Yehova juu ya Jumuiya ya Wakristo
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 20. (a) Ni kwa njia gani jumbe za hukumu katika 1922 na baada ya hapo zimepigiwa tarumbeta na kundi la Wakristo wapakwa-mafuta? (b) Tokeo lilikuwa nini kwa Jumuiya ya Wakristo kutokana na mpigo wa kwanza wa tarumbeta?

      20 Kupitia maazimio, trakti, vijitabu, vitabu, magazeti, na hotuba, mbiu hii na za baadaye zilipigiwa tarumbeta kwa njia ya kundi la Wakristo wapakwa-mafuta. Tokeo la mpigo wa tarumbeta ya kwanza lilikuwa kana kwamba Jumuiya ya Wakristo imepigwa kwa maji yaliyogandamana ya mvua-mawe inayotwanga. Hatia yayo ya damu, kwa sababu ya kushiriki katika vita vya karne ya 20, imefunuliwa, nayo imeonyeshwa kuwa inastahili wonyesho wenye moto wa hasira-kisasi ya Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki