Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Aliwatetea Watu wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
    • b Yaelekea Hamani alikuwa mmoja wa wazao wa mwisho-mwisho wa Waamaleki, kwa sababu wale ‘waliobaki’ waliangamizwa katika siku za Mfalme Hezekia.—1 Mambo ya Nyakati 4:43.

  • Aliwatetea Watu wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Oktoba 1
    • Ona kwamba Hamani alikuwa “Mwagagi.” Hilo linamaanisha kwamba alikuwa mzao wa Agagi, mfalme wa Waamaleki ambaye aliuawa na Samweli, nabii wa Mungu. (1 Samweli 15:33) Waamaleki walikuwa waovu sana na hivyo wakawa maadui wa Yehova na Waisraeli. Taifa la Waamaleki lilihukumiwa na Mungu.b (Kumbukumbu la Torati 25:19)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki