-
Belize2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Jumapili moja asubuhi, James alimhubiria Derrine Lightburn aliyekuwa mfuasi mwenye bidii wa Kanisa la Anglikana. Derrine alichukua kitabu The Harp of God.
-
-
Belize2010 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Hata hivyo, yule mtu hakuwa James Gordon bali James Hyatt. Alitumia santuri yake kuwachezea wanawake hao wawili sahani yenye hotuba na akamwachia Alphonsena kitabu The Harp of God.
-