-
Ufalme wa Mungu Wazaliwa!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na ishara nyingine ikaonekana katika mbingu, na, tazama! drakoni mkubwa wa rangi-moto, mwenye vichwa saba na pembe kumi na juu ya vichwa vyake mataji saba;
-
-
Ufalme wa Mungu Wazaliwa!Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Hivyo vichwa saba na pembe kumi huonyesha kwamba yeye ndiye mbuni wa hayawani-mwitu wa kisiasa ambaye karibuni ataelezwa habari zake katika Ufunuo sura ya 13. Pia hayawani huyu ana vichwa saba na pembe kumi. Kwa kuwa Shetani ana taji juu ya kila kichwa—vyote saba—sisi tunaweza kuwa na hakika kwamba zile serikali kubwa za ulimwengu zinazowakilishwa katika hayawani-mwitu huyo zimekuwa chini ya utawala wake. (Yohana 16:11)
-