-
Mkumbuke Muumba Wako Mtukufu!Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
au mtungi kuvunjika kisimani; au gurudumu kuvunjika birikani.” (Mhubiri 12:6)
-
-
Mkumbuke Muumba Wako Mtukufu!Mnara wa Mlinzi—1999 | Novemba 15
-
-
18. ‘Mtungi kisimani’ wa mfano ni nini, na nini hutendeka unapovunjika?
18 ‘Mtungi kisimani’ ni moyo, ambao hupokea damu na kuizungusha tena kote mwilini. Mtu akifa, moyo huwa kama mtungi uliovunjika, uliovunjika kisimani kwa sababu hauwezi tena kupokea, kubeba, na kupiga damu iliyo muhimu kwa lishe na burudisho la mwili.
-