-
‘Kwa Hekima Siku Zetu Zitazidishwa’Mnara wa Mlinzi—2001 | Mei 15
-
-
Wote wamekaribishwa—wale ‘wasio na ufahamu,’ au wasio na uelewevu, kutia ndani wale wasio na ujuzi. (Mithali 9:4)
-
-
‘Kwa Hekima Siku Zetu Zitazidishwa’Mnara wa Mlinzi—2001 | Mei 15
-
-
kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili [“asiye na ufahamu,” “Zaire Swahili Bible”],
-
-
‘Kwa Hekima Siku Zetu Zitazidishwa’Mnara wa Mlinzi—2001 | Mei 15
-
-
Wakristo wanapaswa kukubali kwa unyenyekevu nidhamu ambayo hutolewa na hekima. Jambo hilo ni kweli hasa kuhusu vijana na wale ambao wameanza majuzi kujifunza juu ya Yehova. Kwa sababu hawana ujuzi mwingi kuhusu njia za Mungu huenda ‘wasiwe na ufahamu.’ Haimaanishi kwamba makusudio yao yote ni mabaya. Lakini ili nia na makusudio yao ya moyoni yampendeze Yehova Mungu, kutumia wakati na jitihada nyingi huhitajika. Wanahitaji kurekebisha mawazo, tamaa, mapendezi, na miradi yao ili kuzipatanisha na mapenzi ya Mungu.
-