Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova—Chanzo cha Haki na Uadilifu wa Kweli
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Agosti 1
    • 4. Inamaanisha nini kudhihirisha haki, na kiwango cha mwisho cha haki ni kipi?

      4 Ni maana gani inayowasilishwa kwa maneno haya ya Kiebrania na Kigiriki? Kudhihirisha haki katika maana ya Kimaandiko humaanisha kufanya yaliyo sawa, bila upendeleo. Kwa kuwa Yehova ndiye huanzisha sheria na kanuni za adili, au yaliyo sawa na yasiyo na upendeleo, jinsi Yehova afanyavyo mambo ndicho kiwango cha mwisho cha haki. Kichapo Theological Wordbook of the Old Testament hueleza kwamba neno la Kiebrania linalotafsiriwa uadilifu (tseʹdheq) “hurejezea elimu ya maadili, kiwango cha adili na bila shaka katika A[gano] la K[ale] kiwango hicho ni hali na mapenzi ya Mungu.” Hivyo, jinsi ambavyo Mungu hutumia kanuni zake, na hasa jinsi ambavyo hushughulika na wanadamu wasio wakamilifu, huonyesha umaana hasa wa haki na uadilifu wa kweli.

  • Yehova—Chanzo cha Haki na Uadilifu wa Kweli
    Mnara wa Mlinzi—1998 | Agosti 1
    • Yale mengine mawili (tseʹdheq na neno linalohusiana nalo, tsedha·qahʹ) katika visa vingi hufasiriwa kuwa “uadilifu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki