-
Mambo Makuu Katika Barua kwa Tito, kwa Filemoni, na kwa WaebraniaMnara wa Mlinzi—2008 | Oktoba 15
-
-
Karibu mwaka wa 61 W.K., Paulo aliwaandikia pia waamini Waebrania huko Yudea na kuonyesha kwa nini Ukristo ni bora kuliko mfumo wa Kiyahudi.
-
-
Mambo Makuu Katika Barua kwa Tito, kwa Filemoni, na kwa WaebraniaMnara wa Mlinzi—2008 | Oktoba 15
-
-
Ili kuthibitisha kwamba imani katika dhabihu ya Yesu ni bora kuliko matendo ya Sheria, Paulo anakazia ubora wa Mwanzilishi wa Ukristo, ubora wa ukuhani wake, ubora wa dhabihu yake, na ubora wa agano jipya. (Ebr. 3:1-3; 7:1-3, 22; 8:6; 9:11-14, 25, 26) Bila shaka, ujuzi huo uliwasaidia Wakristo Waebrania kukabiliana na mateso ambayo walipata mikononi mwa Wayahudi wenzao. Paulo anawahimiza waamini wenzake Waebrania ‘wasonge mbele kuelekea ukomavu.’—Ebr. 6:1.
-