-
Matukio ya Maana Katika Historia ya Kisasa ya Mashahidi wa YehovaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
1876 C. T. Russell apokea nakala ya Herald of the Morning, katika Januari; akutana na N. H. Barbour, mhariri, kiangazi hicho katika Philadelphia, Pennsylvania
-
-
Matukio ya Maana Katika Historia ya Kisasa ya Mashahidi wa YehovaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
1877 Kitabu Three Worlds chatangazwa, kwa sababu ya jitihada za pamoja za N. H. Barbour na C. T. Russell
C. T. Russell atangaza kijitabu The Object and Manner of Our Lord’s Return, kwenye ofisi za Herald of the Morning, katika Rochester, New York
1879 Russell aacha kabisa kutegemeza Herald of the Morning, katika Mei, kwa sababu ya mtazamo wa Barbour juu ya fidia
-