Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mfalme Apata Thawabu kwa Sababu ya Imani Yake
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hezekia, labda akitumaini kulinda jiji la Yerusalemu lisishambuliwe upesi na jeshi lenye ukatili la Ashuru, akubali kumpa Senakeribu ushuru mkubwa wa talanta 300 za fedha na 30 za dhahabu.a—2 Wafalme 18:14.

      5 Kwa kuwa hazina ya mfalme haina dhahabu na fedha ya kutosha kulipa ushuru huo, Hezekia atwaa vito vyovyote awezavyo kupata hekaluni. Yeye pia aing’oa milango ya hekalu, ambayo imetandwa kwa dhahabu, na kuipeleka kwa Senakeribu. Hilo lamridhisha Mwashuri, lakini kwa muda mfupi tu. (2 Wafalme 18:15, 16)

  • Mfalme Apata Thawabu kwa Sababu ya Imani Yake
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • a Thamani ya dola (za Marekani) zaidi ya milioni 9.5 kwa viwango vya kisasa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki