-
Wahasmonia na Hali WaliyoachaMnara wa Mlinzi—2001 | Juni 15
-
-
John Hyrcanus, mwana aliyesalia wa Simon alionywa juu ya jaribio la kumwua. Aliwakamata watu ambao wangemwua na kuchukua uongozi na ukuhani mkuu, vyeo vilivyokuwa vya babake.
-
-
Wahasmonia na Hali WaliyoachaMnara wa Mlinzi—2001 | Juni 15
-
-
Josephus asimulia kwamba mwanzoni John Hyrcanus alikuwa mwanafunzi wa Mafarisayo na aliwaunga mkono. Hata hivyo, baadaye Mafarisayo walimkemea kwa kutoacha ukuhani wa cheo cha juu, jambo lililofanya afarakane nao kabisa. Hyrcanus alipiga marufuku sheria za kidini za Mafarisayo. Ili kuwaadhibu zaidi Mafarisayo, aliwaunga mkono Masadukayo waliokuwa wapinzani wao wa kidini.
-