-
Je, Adamu na Hawa Walikuwa Watu Halisi?Mnara wa Mlinzi—2009 | Septemba 1
-
-
Kemikali hizo zisizo na uhai ziliunganaje na kufanyiza mwanadamu aliye hai? Ili kuelewa ugumu wa kufanya hivyo, fikiria chombo cha NASA cha kusafiria angani, mashini tata zaidi ambayo imewahi kubuniwa. Chombo hicho kilichotengenezwa kwa ufundi wa hali ya juu kina sehemu milioni 2.5. Mainjinia walichukua miaka mingi sana kukibuni na kukiunganisha pamoja. Sasa fikiria mwili wa mwanadamu. Umefanyizwa kwa atomu octillion 7 hivi, trilioni 100, viungo vingi sana, na angalau mifumo 9 ya viungo vikubwa.a Mashini hiyo tata sana ya kibiolojia iliyoundwa kwa ustadi ilitokeaje? Je, ilijitokeza yenyewe au ilibuniwa na mbuni stadi?
-
-
Je, Adamu na Hawa Walikuwa Watu Halisi?Mnara wa Mlinzi—2009 | Septemba 1
-
-
a Kulingana na mfumo wa Marekani wa kuhesabu, octillion 7 inawakilisha 7 ikifuatwa na sufuri 27, na trilioni 100 ni 100 ikifuatwa na sufuri 12.
-