Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Huwafunulia Wanyenyekevu Utukufu Wake
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Agosti 1
    • Akimfafanua Yehova kuwa mnyenyekevu, Daudi alitumia neno la Kiebrania ambalo kihalisi linamaanisha “kuinama.” Mbali na neno “unyenyekevu,” maneno mengine yanayohusiana nalo ni “upole” na “kujishusha.”

  • Yehova Huwafunulia Wanyenyekevu Utukufu Wake
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Agosti 1
    • 9. Je, unyenyekevu ni ishara ya udhaifu? Eleza.

      9 Hata hivyo, unyenyekevu na sifa nyingine zinazohusiana nao, hazipaswi kuonwa kuwa ishara ya udhaifu au mwelekeo wa kupuuza makosa. Kama Maandiko Matakatifu yanavyothibitisha, Yehova ni mnyenyekevu, lakini yeye huonyesha ghadhabu ya uadilifu na nguvu zenye kutisha inapokuwa lazima kufanya hivyo. Kwa sababu ya unyenyekevu wake, Yehova huwapa kibali au huwafikiria kwa njia ya pekee wale ambao ni wanyenyekevu wa akili, huku akijitenga na wenye kiburi. (Zaburi 138:6)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki