Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nicheze Michezo ya Kompyuta?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
    • Kuamua kucheza michezo ya kompyuta yenye jeuri au matendo mapotovu ni kama kucheza na vitu vyenye miale hatari. Huenda madhara yasionekane mara moja, lakini muda si muda, athari zake zitaonekana. Jinsi gani? Kuwa mahali penye miale mingi kama hiyo kunaweza kuharibu sehemu ya ndani ya tumbo na hivyo kuruhusu bakteria kwenye utumbo kuingia katika damu na kusababisha ugonjwa. Vivyo hivyo, kucheza kwa muda mrefu michezo inayoonyesha jeuri na ngono waziwazi kunaweza kuharibu ‘ufahamu wako wa maadili’ na kuruhusu tamaa za mwili ziingie na kutawala fikira na matendo yako.—Waefeso 4:19; Wagalatia 6:7, 8.

  • Nicheze Michezo ya Kompyuta?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
    • [Picha katika ukurasa wa 250]

      Kucheza michezo ya kompyuta yenye jeuri au matendo mapotovu ni kama kucheza na vitu vyenye miale hatari. Huenda madhara yasionekane mara moja, lakini muda si muda, athari zake zitaonekana

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki