-
Kwa Nini Wazazi Wangu Hawaniamini?Amkeni!—2008 | Aprili
-
-
Hata hivyo, kuwa mtu mzima si kama mlango ambao unaingia tu unapofikia umri fulani. Ni kama ngazi unazopanda hatua kwa hatua katika kipindi cha kubalehe. Huenda wewe na wazazi wako mkawa na maoni tofauti kuhusu mahali ambapo umefikia katika kupanda ngazi hizo.
-
-
Kwa Nini Wazazi Wangu Hawaniamini?Amkeni!—2008 | Aprili
-
-
[Mchoro/Picha katika ukurasa wa 28]
Kuwa mtu mzima anayeaminiwa ni kama ngazi unazopanda hatua kwa hatua katika kipindi cha kubalehe
[Mchoro]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
UTU UZIMA
KUBALEHE
UTOTO
-