-
Je, Niungame Dhambi Yangu?Amkeni!—1997 | Januari 22
-
-
“Nimeaibika sana, sijui jambo la kufanya. Ninataka kwenda kwa wazazi wangu, lakini nimeaibika mno.”—Lisa.a
HIVYO ndivyo alivyoandika mwanamke mmoja mchanga aliyefadhaika. Alikuwa amejihusisha kimahaba na mtu asiye mwamini kwa kipindi cha miaka michache ambapo siku moja, akiwa amelewa kwa alkoholi, alifanya ngono naye.
-
-
Je, Niungame Dhambi Yangu?Amkeni!—1997 | Januari 22
-
-
Msichana mmoja Mkristo alifanya ngono kabla ya ndoa. Aliamua kuungama kwa wazee wa kutaniko lake, hata akapanga tarehe ambayo angefanya hivyo. Lakini aliahirisha tarehe hiyo. Baadaye, aliisogeza tarehe mbele tena. Hatimaye, mwaka mzima ulikuwa umepita!
-