Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Kupita Katika Tundu la Sindano’
    Amkeni!—2008 | Novemba
    • [Mchoro/Picha katika ukurasa wa 15]

      (Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)

      Forbes alisafiri kutoka Uingereza hadi Australia kwa kutumia meli iliyoitwa “Marco Polo” (juu) kupitia njia fupi

      [Mchoro]

      NJIA YA ZAMANI

      39th parallel

      NJIA FUPI

      Mzingo wa Antaktiki

      [Ramani]

      BAHARI YA ATLANTIKI

      BAHARI YA HINDI

      ANTAKTIKA

      [Hisani]

      From the newspaper The Illustrated London News, February 19, 1853

  • ‘Kupita Katika Tundu la Sindano’
    Amkeni!—2008 | Novemba
    • Mnamo 1852, safari hiyo ilianza kuwa rahisi wakati Kapteni James (Bully) Forbes aligundua njia fupi. Akiamua kutofuata njia iliyoitwa 39th parallel ambayo ilionekana kuwa ndiyo njia fupi zaidi kupitia kusini mwa Bahari ya Hindi hadi Australia, Forbes alifuata njia fupi kutoka Uingereza hadi kusini-mashariki ya Australia, na njia hiyo ikamwongoza upande wa kusini zaidi kuelekea Antaktika.b Licha ya kwamba kulikuwa na miamba ya barafu na mawimbi makubwa, meli ya Forbes, iliyoitwa Marco Polo, ikiwa imebeba wahamaji 701, ilitia nanga huko Melbourne, Victoria, baada ya siku 68 tu, ikitumia karibu nusu ya muda uliohitajika kusafiri kufika huko. Ugunduzi huo ulitukia wakati unaofaa sana, kwa kuwa harakati za kutafuta dhahabu huko Victoria zilikuwa zimepamba moto. Habari kuhusu njia hiyo fupi ziliwafanya maelfu ya wachimba-migodi wasafiri kwenda Australia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki