Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hekima ya “Neno la Mungu”
    Mkaribie Yehova
    • Mara nyingi, inaonekana kwamba aliwaruhusu waandishi watumie akili zao katika kuchagua “maneno yapendezayo, na yale yaliyoandikwa kwa unyofu, yaani, maneno ya kweli.” (Mhubiri 12:10, 11) Ndiyo sababu Biblia imeandikwa kwa njia mbalimbali; njia hizo hutegemea malezi na utu wa kila mwandishi.a

  • Hekima ya “Neno la Mungu”
    Mkaribie Yehova
    • a Kwa mfano, Daudi, aliyekuwa mchungaji, anatumia mifano inayohusiana na ufugaji wa wanyama. (Zaburi 23) Mathayo, ambaye alikuwa mtoza-kodi hapo awali, mara nyingi anataja tarakimu na thamani ya fedha. (Mathayo 17:27; 26:15; 27:3) Luka, ambaye alikuwa daktari, anatumia maneno yanayohusiana na kazi yake ya tiba.—Luka 4:38; 14:2; 16:20.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki