-
Nilisaidiwa Kuacha Kuwa Mwenye HayaMnara wa Mlinzi—2000 | Juni 1
-
-
Jambo kuu katika maisha yangu ya mishonari lilitukia mwezi wa Novemba uliopita, miaka 36 baada ya kuwekwa wakfu kwa jengo ambamo wengi wetu sisi mishonari twaishi sasa. Novemba 13, 1999, nilikuwa miongoni mwa watu 4,486, kutia ndani mamia ya Mashahidi wa zamani kutoka nchi 37, waliohudhuria kuwekwa wakfu kwa majengo yaliyoongezwa ya ofisi ya tawi ya Japani ya Watch Tower Bible and Tract Society katika Ebina. Kwa wakati huu, kuna watu wapatao 650 katika ofisi hiyo ya tawi.
-
-
Nilisaidiwa Kuacha Kuwa Mwenye HayaMnara wa Mlinzi—2000 | Juni 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 25]
Majengo ya ofisi ya tawi yaliyoongezwa katika Ebina yaliwekwa wakfu mwezi wa Novemba uliopita
-