-
Matukio Muhimu Ya Mwaka Uliopita2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Nchi nyingine ambazo zimepokea matbaa mpya aina ya MAN Roland Lithoman ni Afrika Kusini, Brazili, Japani, Mexico, na Uingereza.
-
-
Matukio Muhimu Ya Mwaka Uliopita2005 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Ofisi ya tawi ya Japani inasema kwamba awali ilichukua siku nzima kurekebisha mashine iliyokuwa ikichapa vitabu vidogo ili iweze kuchapa vitabu vikubwa. Sasa inachukua muda wa saa moja tu. Awali ilichukua siku kumi kuchapa trakti milioni moja lakini sasa inachukua muda wa saa tano tu. Katika miezi mitatu ya kwanza, matbaa ya Japani ilichapa trakti milioni 12; magazeti na broshua milioni 12; vitabu 240,000; na Biblia 48,000.
-