-
Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Masuala ya Kisheria
Armenia: Mnamo Oktoba 8, 2004, Mashahidi wa Yehova waliandikishwa kisheria. Kabla ya hapo walikuwa wamewasilisha maombi rasmi mara 15. Hata hivyo, bado ndugu vijana wanatiwa gerezani kwa sababu ya kufuata dhamiri zao na kukataa kujiunga na jeshi. (Isa. 2:4) Tunatumaini kwamba ndugu zetu wataendelea kuwa na uhuru wa kidini utakaowawezesha kuingiza vichapo nchini humo na kufanya makusanyiko. Ama kweli, mnamo Juni 2005, idara ya forodha iliwapa akina ndugu kibali rasmi cha kuingiza nchini Armenia shehena ya kwanza ya vichapo.
-
-
Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Oktoba 8: Mashahidi wa Yehova waandikishwa kisheria nchini Armenia.
-