-
Yerusalemu—“Jiji la Yule Mfalme Mkubwa”Mnara wa Mlinzi—1998 | Oktoba 15
-
-
5 Mwanamume Daudi mwenye kumhofu Mungu—Mwisraeli wa kabila la Yuda—aliteka Yerusalemu kutoka kwa Wayebusi wenye kuabudu sanamu. Wakati huo jiji hilo lilikuwa tu kwenye kilima kiitwacho Zayoni, lakini maana ya jina hilo ilikuja kuwa na maana sawa na jina Yerusalemu lenyewe.
-
-
Yerusalemu—“Jiji la Yule Mfalme Mkubwa”Mnara wa Mlinzi—1998 | Oktoba 15
-
-
8, 9. Ibada ya kweli ilipanukaje katika Yerusalemu chini ya utawala wa Mfalme Solomoni?
8 Wakati wa utawala wa Solomoni mwana wa Daudi, ibada ya Yehova ilipanuliwa. Solomoni alipanua Yerusalemu kuelekea upande wa juu ili kutia ndani kilima Moria (eneo ambako siku hizi kuna jengo liitwalo Dome of the Rock).
-