Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jinsi Unavyoweza Kujibu Vizuia-Mazungumzo Vikitokea
    Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
    • Ikiwa unazungumzia umuhimu wa kutumia jina la Mungu, chunguza kwanza ujue maoni ya mtu huyo kuhusu jambo hilo. Eleza kwamba andiko la Kutoka 20:7 linakataza kulitumia jina la Mungu kwa njia isiyofaa, lakini halikatazi kulitumia kwa heshima. Ndipo toa sababu kwa kutumia maandiko kama Kutoka 3:15 (au Zaburi 135:13); 1 Wafalme 8:41-43; Isaya 12:4; Yeremia 10:25; Malaki 3:16.

  • Jinsi Unavyoweza Kujibu Vizuia-Mazungumzo Vikitokea
    Kutoa Sababu kwa Kutumia Maandiko
    • MTU AKISEMA, ‘MIMI NI MYAHUDI’

      ● Kwanza, chunguza uone jinsi mtu huyo anavyojiona kuwa Myahudi. Wengi wao hawafuati dini. Kwa wengi wao, kuwa Myahudi kunamaanisha tu kabila lake.

      Haya ni mambo machache ambayo ni vizuri kukumbuka: (1) Wayahudi wa kidini wanaona ni marufuku kutamka jina la Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki