Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ayubu
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Machi 15
    • Neno la Yehova Liko Hai

      Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ayubu

      MZEE wa ukoo Ayubu aliishi katika nchi ya Usi, ambayo sasa iko Arabia. Wakati huo, Waisraeli wengi walikuwa wakiishi Misri. Ingawa hakuwa Mwisraeli, Ayubu alikuwa mwabudu wa Yehova Mungu. Biblia inasema hivi kumhusu: “Hakuna yeyote aliye kama yeye duniani, mtu asiye na lawama na mnyoofu, mwenye kumwogopa Mungu na kujiepusha na ubaya.” (Ayubu 1:8) Hicho kilikuwa kipindi kati ya siku za Yosefu mwana wa Yakobo na siku za nabii Musa, ambao walikuwa watumishi wa Yehova wenye sifa nzuri.

  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ayubu
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Machi 15
    • a Kitabu cha Ayubu kinasimulia mambo ya kipindi cha miaka zaidi ya 140, kati ya mwaka wa 1657 na 1473 K.W.K.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki