-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Kisha alikiondoa kifuniko cha Yuda.” (Isaya 22:7, 8a)
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
Huenda ni lango fulani la jiji hilo, ambalo kutekwa kwake ni ishara ya mabaya kwa walinzi.c Kifuniko hicho chenye ulinzi kiondolewapo, jiji labaki wazi ili washambuliaji waingie.
-
-
Mafundisho Kuhusu Kukosa UaminifuUnabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
-
-
c Au, huenda usemi “kifuniko cha Yuda” warejezea kitu kingine tofauti kinacholinda jiji, kama vile ngome ambazo ni hifadhi za silaha na makao ya wanajeshi.
-