-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na kiumbe hai wa kwanza ni kama simba, na kiumbe hai wa pili ni kama fahali mchanga, na kiumbe hai wa tatu ana uso kama wa mwanadamu, na kiumbe hai wa nne ni kama tai arukaye.” (Ufunuo 4:7, NW)
-
-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Simba anatumiwa katika Biblia kuwa ufananisho wa ujasiri, hasa katika kufuatilia haki na uadilifu. (2 Samweli 17:10; Mithali 28:1) Hivyo, simba anawakilisha vizuri ile sifa ya kimungu ya haki yenye ujasiri. (Kumbukumbu 32:4; Zaburi 89:14)
-