-
Sehemu ya 5—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Ilikuwa pia wakati wa 1991 kwamba, kwa mara ya kwanza katika historia, Mashahidi wa Yehova waliweza kufanya mikusanyiko peupe katika sehemu zilizokuwa wakati huo katika Muungano wa Sovieti. Baada ya mkusanyiko katika Tallinn, Estonia, kulikuwa na mwingine katika Siberia. Minne ilifanywa katika majiji makuu katika Ukrainia, na mmoja katika Kazakhstan. Jumla ya hudhurio ilikuwa 74,252.
-
-
Sehemu ya 5—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya DuniaMashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
[Picha katika ukurasa wa 506]
Baadhi ya Mikusanyiko ya Kihistoria Katika 1991
Prague, Chekoslovakia
Tallinn, Estonia (kulia)
Zagreb, Kroatia (kulia)
Budapest, Hungaria (juu)
Baia-Mare, Rumania (kulia)
Usolye-Sibirskoye, Urusi (chini)
Alma-Ata, Kazakhstan (juu)
-