-
Tumaini Licha ya Shida Kusanyiko Katika Kambi ya WakimbiziMnara wa Mlinzi—2005 | Aprili 15
-
-
Tumaini Licha ya Shida Kusanyiko Katika Kambi ya Wakimbizi
KAMBI ya wakimbizi ya Kakuma iko kaskazini mwa Kenya, karibu na mpaka wa Sudani. Zaidi ya watu 86,000 huishi huko. Hilo ni eneo kavu, na wakati wa mchana halijoto hufikia nyuzi 50 Selsiasi. Jamii mbalimbali za wakimbizi huzozana mara nyingi. Wakimbizi wengi hupata shida nyingi kambini. Hata hivyo, wengine wao wana tumaini.
Baadhi ya wakimbizi ni Mashahidi wa Yehova, na wanahubiri habari njema za Ufalme kwa bidii. Wanashirikiana na kutaniko dogo huko Lodwar, kilometa 120 kusini mwa kambi hiyo. Ili ufike kwenye kutaniko lililo karibu na lile la Lodwar, itakubidi usafiri kwa gari kwa muda wa saa nane.
-
-
Tumaini Licha ya Shida Kusanyiko Katika Kambi ya WakimbiziMnara wa Mlinzi—2005 | Aprili 15
-
-
[Ramani katika ukurasa wa 23]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
KENYA
Kambi ya Kakuma
Ziwa Turkana
Lodwar
Eldoret
Nairobi
[Picha katika ukurasa wa 23]
Maisha ni magumu kambini
[Picha katika ukurasa wa 23]
Maji yapimwa katika kambi ya Kakuma
-