Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nairobi—“Mahali Penye Maji Baridi”
    Amkeni!—2004 | Novemba 8
    • Katika mwaka wa 1931, muda mrefu kabla ya jiji la Nairobi kuwa maarufu, Gray Smith na ndugu yake Frank, walitoka Afrika Kusini na kufika Kenya ili kueneza kweli za Biblia. Walitoka Mombasa na kufuata reli, huku wakipitia hali nyingi hatari—hata nyakati nyingine walilala karibu na wanyama wa pori. Waligawa vijitabu 600 na vitabu vingine vya Biblia katika eneo la Nairobi.

  • Nairobi—“Mahali Penye Maji Baridi”
    Amkeni!—2004 | Novemba 8
    • [Picha katika ukurasa wa 19]

      Frank na Gray Smith, mwaka wa 1931

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki