Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Hata hivyo, katika 1949, Mary Whittington, akiwa na watoto wake watatu wachanga, alihama kutoka Uingereza ili aishi Nairobi pamoja na mume wake, aliyekuwa ameajiriwa kazi huko. Dada Whittington alikuwa amebatizwa mwaka mmoja hivi uliopita, lakini alikuwa na roho ya painia. Ingawa hakujua Shahidi mwingine yeyote katika Kenya, alianza kusaidia wengine katika eneo hilo kubwa wajifunze kweli. Vijapokuwa vizuizi, yeye hakuacha.

  • Sehemu ya 4—Kuwa Mashahidi Hadi Sehemu ya Mbali Zaidi Sana ya Dunia
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 485]

      Ingawa alikuwa amebatizwa kwa mwaka mmoja tu naye hakujua Mashahidi wengine wowote katika Kenya, Mary Whittington alianza kusaidia wengine wajifunze kweli

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki