Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Fadhili​—Sifa Muhimu Machoni pa Mungu
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Septemba 1
    • Ni jambo la kawaida kwetu kuwatendea kwa fadhili watu ambao tuna uhusiano wa karibu nao, kwa sababu neno fadhili linamaanisha hasa uhusiano wa kiukoo.a Hata hivyo, kimsingi fadhili ni sifa inayotokana na Mungu. Yesu alisema kwamba Baba yake wa mbinguni si mwenye fadhili tu kwa wale wanaompenda bali pia kuelekea wale “wasio na shukrani.” Yesu aliwahimiza wafuasi wake wamwige Mungu kwa kuonyesha sifa hiyo: “Muwe wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.”​—Luka 6:35; Mathayo 5:48; Kutoka 34:6.

      Wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu, wanaweza kuonyesha sifa ya fadhili. (Mwanzo 1:27) Ndiyo, tunaweza kumwiga Mungu na hata kuwaonyesha fadhili watu ambao hatuna uhusiano nao.

  • Fadhili​—Sifa Muhimu Machoni pa Mungu
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Septemba 1
    • a Kamusi ya The Oxford English Dictionary inaonyesha kwamba maana ya awali ya neno “fadhili” ni “ukoo; uhusiano wa karibu; upendo wa asili unaotokana na uhusiano huo.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki