Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwimbieni Yehova!
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Desemba 15
    • 16. Kitabu chetu kipya cha nyimbo kitatusaidia jinsi gani kufuata shauri la Paulo katika Waefeso 5:19?

      16 Kwa sababu hiyo na sababu nyinginezo, Baraza Linaloongoza lilikubali kitabu kipya cha nyimbo chenye kichwa Mwimbieni Yehova kichapishwe. Idadi ya nyimbo katika kitabu chetu kipya imepunguzwa kufikia 135. Kwa kuwa kuna nyimbo chache zaidi za kujifunza, tunaweza kushika akilini maneno ya nyimbo fulani mpya. Hilo linapatana na shauri la Paulo katika Waefeso 5:19.—Soma.

  • Mwimbieni Yehova!
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Desemba 15
    • 18. Toa mapendekezo yanayoweza kutusaidia kujifunza maneno ya nyimbo zetu.

      18 CD zenye kichwa Mwimbieni Yehova—Muziki wa Kuimbwa zimetayarishwa katika lugha mbalimbali. CD hizo zina nyimbo mpya ambazo zimeimbwa kwa vyombo vya muziki na pia kikundi cha waimbaji. Kusikiliza muziki huo kunafurahisha sana. Sikiliza muziki huo mara nyingi; ukifanya hivyo utajifunza haraka maneno ya nyimbo chache mpya.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki