Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na wa sita akamimina bakuli lake juu ya mto mkubwa Eufrati, na maji yao yakakauka kabisa, ili njia iweze kutayarishwa kwa ajili ya wafalme kutoka zukio la jua.” (Ufunuo 16:12, NW)

  • Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye Tamati
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 23. (a) Ni nani waliokuwa wafalme kutoka “zukio la jua” katika 539 K.W.K.? (b) Ni nani walio “wafalme kutoka zukio la jua” wakati wa siku ya Bwana, nao wataharibuje Babuloni Mkubwa?

      23 Hawa wafalme ni nani? Katika 539 K.W.K. wao walikuwa Dario Mmedi na Sairasi Mwajemi, ambao walitumiwa na Yehova kushinda jiji la kale la Babuloni. Katika hii siku ya Bwana, dini bandia ya Babuloni Mkubwa itaharibiwa pia na watawala wa kibinadamu. Lakini kwa mara nyingine tena, hii itakuwa hukumu ya kimungu. Yehova Mungu na Yesu Kristo, “wafalme kutoka zukio la jua,” watakuwa wametia katika mioyo ya watawala wa kibinadamu “fikira” wamgeukie Babuloni Mkubwa na kumharibu kabisa. (Ufunuo 17:16, 17, NW)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki