-
Wafalme Wawili WapambanaSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
Antiochus wa Tatu alikufa akijaribu kupora hekalu huko Elymaïs, Uajemi, mwaka wa 187 K.W.K. Kwa hiyo, ‘akaanguka’ katika kifo naye mwana wake Seleuko wa Nne, akatawala baada yake akiwa mfalme wa kaskazini aliyefuata.
-
-
Wafalme Wawili WapambanaSikiliza Unabii wa Danieli!
-
-
Vipi juu ya Seleuko wa Nne? Kwa kuwa alihitaji fedha za kulipa faini kubwa aliyodaiwa na Roma, alimtuma mweka-hazina Heliodorus akatwae mali ambazo yasemekana zilikuwa zimewekwa katika hekalu la Yerusalemu. Heliodorus akamuua Seleuko wa Nne kwa kuwa alikitamani kiti cha ufalme.
-