Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kujulisha Habari Njema Bila Kuacha (1942-1975)
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Akiwa na hamu sana ya kuchanganua mahitaji ya Mashahidi wa Yehova katika nchi zilizokumbwa na vita, msimamizi wa Sosaiti, pamoja na mwandishi wake, Milton G. Henschel, walianza safari ya kuzuru Uingereza, Ufaransa, Uswisi, Ubelgiji, Uholanzi, na Skandinevia katika Novemba 1945 ili kutia ndugu moyo na kukagua ofisi za tawi za Sosaiti.d

  • Kujulisha Habari Njema Bila Kuacha (1942-1975)
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Sanduku/Ramani katika ukurasa wa 96]

      Safari za Utumishi za N. H. Knorr, 1945-1956

      1945-1946: Amerika ya Kati, Amerika Kusini, Amerika Kaskazini, Ulaya, Karibea

      1947-1948: Amerika Kaskazini, visiwa vya Pasifiki, nchi za Mashariki, Mashariki ya Kati, Ulaya, Afrika

      1949-1950: Amerika Kaskazini, Amerika ya Kati, Amerika Kusini, Karibea

      1951-1952: Amerika Kaskazini, visiwa vya Pasifiki, nchi za Mashariki, Ulaya, Mashariki ya Kati, Afrika,

      1953-1954: Amerika Kusini, Karibea, Amerika Kaskazini, Amerika ya Kati

      1955-1956: Ulaya, visiwa vya Pasifiki, nchi za Mashariki, Amerika Kaskazini, Mashariki ya Kati, Afrika Kaskazini

      [Ramani]

      (See publication)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki