Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nimejionea Mabadiliko Makubwa Nchini Korea
    Amkeni!—2008 | Desemba
    • Mnamo 1953, niliposimamishwa mbele ya mahakama ya kijeshi, serikali ya Korea haikuelewa kwa nini mtu angekataa kujiunga na jeshi kwa sababu ya dhamiri. Baadhi yetu tulishtakiwa kuwa Wakomunisti, na Mashahidi wachache walipigwa mpaka wakafa. Wengi ambao walifungwa kwa sababu ya kukataa kuingia jeshini walipokuwa vijana wamewaona wana wao, na hata wajukuu wao, wakifungwa kwa sababu hiyohiyo.

      Kwa miaka michache iliyopita, vyombo vya habari vimeangazia visa vya Mashahidi wa Yehova wanaokataa kujiunga na jeshi la nchi yoyote kwa sababu ya dhamiri zao. Wakili mmoja aliyekuwa amemshtaki Shahidi fulani aliyekataa kujiunga na jeshi, aliandika barua ya kuomba msamaha ambayo ilichapishwa katika gazeti moja maarufu.

  • Nimejionea Mabadiliko Makubwa Nchini Korea
    Amkeni!—2008 | Desemba
    • Mimi si Shahidi pekee aliyekataa kutumika jeshini nchini Korea. Kwa kweli, Mashahidi zaidi ya 13,000 wamefanya vivyo hivyo katika miaka iliyofuata. Wametumika kwa jumla ya miaka zaidi ya 26,000 katika magereza nchini Korea.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki