-
Nimejionea Mabadiliko Makubwa Nchini KoreaAmkeni!—2008 | Desemba
-
-
Mnamo Agosti (Mwezi wa 8) 1949, Don na Earlene Steele, wamishonari wa kwanza waliozoezwa katika Shule ya Gileadi (Watchtower Bible School of Gilead) kutumwa nchini Korea waliwasili Seoul. Baada ya miezi kadhaa, wamishonari wengine walitumwa.
-
-
Nimejionea Mabadiliko Makubwa Nchini KoreaAmkeni!—2008 | Desemba
-
-
Ubalozi wa Marekani uliwaagiza wamishonari wote watoke nchini humo kwa sababu ya usalama wao.
-