Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Nimejionea Mabadiliko Makubwa Nchini Korea
    Amkeni!—2008 | Desemba
    • Mnamo Agosti (Mwezi wa 8) 1949, Don na Earlene Steele, wamishonari wa kwanza waliozoezwa katika Shule ya Gileadi (Watchtower Bible School of Gilead) kutumwa nchini Korea waliwasili Seoul.

  • Nimejionea Mabadiliko Makubwa Nchini Korea
    Amkeni!—2008 | Desemba
    • Kisha mnamo Novemba (Mwezi wa 11) 1951, kabla ya vita kwisha, Don Steele alirudi Korea.

      Nilimsaidia kupanga tena kazi yetu ya kuhubiri. Mnara wa Mlinzi na Informant, zilizotoa mwongozo kwa Mashahidi kuhusu kazi ya kuhubiri, zilihitaji kutafsiriwa katika Kikorea, kupigwa chapa, na kutolewa nakala. Vichapo hivyo vilitumwa katika makutaniko yaliyokuwa katika majiji kadhaa. Mara kwa mara, mimi na Don tulisafiri pamoja kuyatembelea makutaniko ili kuyatia moyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki