-
Nafurahi Kuwa MchungajiAmkeni!—2011 | Machi
-
-
Wakati huo, nilitumika katika kutaniko la kwanza la Kikirghiz, katika mji wa Balikchi.
-
-
Nafurahi Kuwa MchungajiAmkeni!—2011 | Machi
-
-
Wakati huo kulikuwa na makutaniko saba ya Kikirghiz na zaidi ya makutaniko 30 ya Kirusi kote nchini. Kufikia sasa kuna zaidi ya makutaniko 20 ya Kikirghiz na vikundi vingi katika lugha hiyo, ambavyo vinafanyiza asilimia 40 hivi ya Mashahidi 4,800 nchini Kyrgyzstan.
-