-
“Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
“Na mimi nikaona akisimama katikati ya kiti cha ufalme na ya viumbe hai wanne na katikati ya wazee mwana-kondoo kana kwamba alikuwa amechinjwa, akiwa na pembe saba na macho saba, macho ambayo humaanisha roho saba za Mungu ambazo zimepelekwa katika dunia kwa ujumla.”—Ufunuo 5:6, NW.
-
-
“Ni Nani Ambaye Anastahili Kufungua Hati-Kunjo?”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
13. (a) Macho saba ya Mwana-Kondoo yanafananisha nini? (b) Mwana-Kondoo anaanza kufanya nini?
13 Zaidi ya hilo, Yesu amejazwa roho takatifu kwa utimilifu, kama inavyofananishwa na yale macho saba ya Mwana-Kondoo, ambayo “humaanisha roho saba za Mungu.” Yesu ni mfereji ambao kupitia huo utimilifu wa kani-tendaji ya Mungu hutiririkia watumishi Wake wa kidunia. (Tito 3:6) Kwa udhahiri, ni kupitia roho ii hii kwamba yeye huona kutoka mbinguni yanayotendeka hapa duniani. Kama Baba yake, Yesu ana utambuzi mkamilifu. Hakuna kitu kinachoponyoka asikione. (Linga Zaburi 11:4; Zekaria 4:10.)
-