-
“Sheria ya Mwenye Hekima”—Ni Chemchemi ya UzimaMnara wa Mlinzi—2003 | Septemba 15
-
-
taa ya mtu mbaya itazimika.”—Mithali 13:9.
Taa inafananisha kifaa tunachotumia kuangaza njia yetu ya maisha.
-
-
“Sheria ya Mwenye Hekima”—Ni Chemchemi ya UzimaMnara wa Mlinzi—2003 | Septemba 15
-
-
Taa ya mwovu itazimika hata kama taa hiyo inaonekana kutoa mwangaza mwingi kadiri gani au hata kama anaonekana kuwa amefanikiwa kadiri gani. Mwishowe atajikuta gizani, naye lazima atajikwaa. Isitoshe, mtu huyo “hatakuwa na mema baadaye.”—Mithali 24:20, BHN.
-